STAFU NZIMA YA DAGE SALON

Ms.Genoveva kiliba

C.E.O Founder,Manager

Kutana na mama aliye mwanzilishi wa DAGE SALON na ndiye mmiliki wa saluni ikiwa ni pamoja na chuo cha urembo DAGE, Ni mtaalamu katika fani ya urembo na anafanya kazi pamoja na timu yake kuhakikisha malengo ya saluni yake yanafikia viwango vizuri. Wasiliana naye kupitia kubonyeza picha yake iliyoambatana na link za facebook,whatsapp pamoja na instagram au piga simu namba 0787413663 au 0713413663.


Mr.payas

Office Coordinator

Wasiliana naye moja kwa moja kupitia link kwenye picha yake au mpigie simu 0629448899.


Mr.faustine muganyizi

Office administrator

Kaka faustine ndiye msimamizi mkuu wa shughuli za ofisi na pia ni mwalimu katika chuo cha urembo DAGE, katika saluni yeye huhusika na kuhakikisha shughuli zote za kimawasiliano zinakaa sawa ikiwa ni pamoja na kutoa maelekezo sahihi kwa wageni wanaofika saluni kwaajili ya huduma. Wasiliana naye moja kwa moja kupitia link kwenye picha yake au mpigie simu 0629448899 au 0654982225.


Mr.Justine

Production manager DAGE.

Kaka Justine ni production manager katika saluni ya DAGE ambapo shughuli zote za photoshoot na graphics hufanywa kwa ustadi nayeye,anapiga picha nzuri zenye quality nzuri,kufanya editing na kupost katika mitandao ya kijamii ya dage kama vile facebook,instagram pamoja na youtube wasiliana naye kupitia link kwenye picha yake hapo juu, au mpigie kupitia namba 0659553513


Eng.Shadrack Damian

Web Developer,IT

Mtaalamu wa mambo ya teknolojia ya habari na mawasiliano katika saluni ya DAGE,yeye ndio aliye tengeneza programu mbalimbali hasa za saluni ikiwemo tovuti hii na nyinginezo nyingi zaidi.Kwa msaada zaidi wasiliana naye kupitia tovuti yake ya Shadrack Damian,facebook au instagram katika kitufe.Au mpigie kwa namba: 0627316727.


Ms.Neema

Receptionist DAGE.

Dada neema yeye ni mtu wa mapokezi katika saluni ya DAGE,ukifika hapo atakuhudumia vizuri. kwa taarifa chache kuhusu DAGE wasiliana naye kupitia namba 0621372700