Elimu bora
Tunatoa elimu bora ya urembo wa nywele,ngozi pamoja na kucha katika viwango vizuri vya kimataifa,kwa masomo ya darasani(theory) pamoja na practicals(kwa vitendo).Pia tunao wataalamu wa kutosha wanao fundisha elimu ya ujasiliamali,kompyuta pamoja na upambaji wa kumbi za sherehe mbalimbali.