# Matangazo
Yafuatayo ni matangazo ya hivi karibuni kutoka katika ofisi ya DAGE;
                      
>>> Uongozi wa chuo unatoa shukrani za dhati kwa wale wote waliopata nafasi ya kuhudhulia mahafali iliyo fanyika chuoni DAGE.
                      
>>> Usajili kwa wanafunzi wapya umekwisha anza wahi sasa nafasi ni chache,kwa maelezo zaidi fuatilia mwongozo wa chuo uliopo katika menyu hapo juu
                      
>>> Tunapokea wanafunzi kuanzia elimu ya darasa la saba mpaka chuo kikuu karibuni sana.
                      
>>> Katika tovuti hii tumeambatanisha vitufe vya mitandao yetu ya kijamii,tafadhali fuatilia kujua mengi zaidi.
                    
