# Maudhui yetu
Chuo chetu cha urembo kilichopo sinza africa sana kina toa huduma za mafunzo kwa ngazi ya cheti katika urembo wa nywele,ngozi pamoja na kucha,upambaji kumbi,stadi za maisha afya n.k.
Chuo kina pokea wanafunzi kuanzia waliomaliza darasa la saba mpaka chuo kikuu,Chuo kinazo hosteli nzuri sana kwa gharama nafuu kabisa
mnakaribishwa wote...
# Madhumuni yetu
Kama taasisi ya chuo cha DAGE tunayo madhumuni makubwa sana kwaaajili ya kukifanya chuo chetu kifahamike na kueleweka vizuri ndani na nnje ya mipaka ya nchi yetu,Hivi punde tunatazamia kufungua muhula wa masomo kwa ngazi ya stashahada (Diploma), na kwa kwadri MUNGU atakavyozidi tupatia uhai kama DAGE school of hair dressing and beauty tunatazamia pia kufungua usajili wa mafunzo ya urembo katika ngazi nyingine kubwa ya shahada (Degree).
karibuni sana.....